Tuesday 3 February 2015

INTER SCHOOL PROM PARTY

                 
Hatuwezi shukuru vya kutosha watu wa DODOMA kwa Support kubwaa sanaa mliotuonyesha siku ya INTERSCHOOL PROM PARTY ilikua ni furaha na faraja kubwa sana kwetu The Great Family kuona vijana kwa wazee wakitokelezea kwa sanaa siku ya party. Ahadi yetu kwenu ni kwamba hatuta waangusha kwani Makubwa na Mengi zaidi yanakuja kwa mkoa wa DODOMA!! Cheers kwenu!
#Says THE GREAT FAMILY! 

1 comment:

Unknown said...

Pamoja Sana wapendwa😊